Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya taifa...
Baba, Mama na Vijana kitukuzwe Kiswahili...
Toto amka uende shule, asubuhi na mapema
We ndio kiongozi wa baadaye, tasaidia Baba na Mama
x2
Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya taifa...
Baba na Mama, Vijana kitukuzwe Kiswahili...
Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya Africa...

[children]
Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya Africa...
Baba na Mama, Vijana kitukuzwe Kiswahili...
Kaskazini, Mashariki, Kusini, Magharibi
vyuo vi