Official Music video for “Messiah” by Walter Chilambo
Listen to USHUHUDA ALBUM ON BOOMPLAY:
Follow Walter Chilambo
Instagram:
YouTube:
CREDITS
Audio Production: Love Music Brand
Produced by Kittah the Pro
Mixing & Mastering: Walter Chilambo
Video Production: LMB Films
Video Director: XOG
USHUHUDA ALBUM BIO
Ushuhuda album is a combination of songs expressing endless gratitude to God for the beautiful things he has consistently and relentlessly done in my life.
’Ushuhuda’ is a Swahili word for ’Testimony’ which simply means good news presented in terms of one’s personal experience.
The album features genres ranging from RnB, Amapiano, Afrobeat and Zouk.
Songs in the album include; Unafaa, Nitakase, Busara, Mapenzi ya milele, Ushuhuda, Ahsante baba, Ananipenda, For your love, Yule yule, Messiah & Love on Fire.
Listen now on BOOMPLAY APP.
Moja kati ya Album nzuri ya kusifu na kuabudu “USHUHUDA“ kutoka kwa mtumishi, mwandishi mzuri Walter Chilambo, USHUHUDA album inaelezea utukufu wa Mungu katika maisha ya mwanadamu, Pia album hii ya Ushuhuda imetungwa na ladha tofauti za muziki ikiwemo RnB, Amapiano,Afrobeats na Zouk, Sikiliza leo kwenye Boomplay Music, USHUHUDA album ni Exclusive kwenye Boomplay Music.
Bofya link na Ubarikiwe.
MESSIAH LYRICS
Ooh ooh ooh Messiah wanje
Mmh mmh mmh Messiah wanje
Hakuna jambo jipya mbele zako
Hakuna kitu kinashindikana
Na kila tuombalo bwana unajibu
Umetamalaki
NI kweli umetenda
Ni kweli umefanya
Ni kweli umetosha
Kweli wewe mtawala
Aaah aaah ( Yesu)
(Eh eh eh eh)
(Yesu)
(Eh eeeH)
Kwa Yesu shuka shuka shuka shuka
(Hosannah)
Aah shuka
(Eh eh eh)
Shuka shuka shuka shuka
Ooh ooh ooh
Aah shuka
Anatupenda anatupenda anatupenda Anatupenda
Anatupenda anatupenda anatupenda Anatupenda Yesu
Aah shuka
Yesu
Kwa Yesu shuka shuka shuka shuka
(Hosannah)
Aah shuka
(Eh eh eh)
Shuka shuka shuka shuka
Ooh ooh ooh
aibo
Aah shuka
aibo bo bo bo bo
aibo bo bo bo bo
aibo bo bo bo bo
aibo bo bo bo bo
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
Hakuna wa kukulinganisha
aibo bo bo bo bo
aibo bo bo bo bo
aibo bo bo bo bo
aibo bo bo bo bo
#WalterChilambo #Messiah #UshuhudaTheAlbum