Kenya anthem & flag FullHD / Кения гимн и флаг / Kenya wimbo wa taifa na bendera

Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na undugu Amani na uhuru Raha tupate na ustawi. Amkeni ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya Tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda. Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono Pamoja kazini Kila siku tuwe na shukrani.
Back to Top