Ndege ya Precision Air yapata ajali ziwani Bukoba, Shuhudia uokoaji ukiendelea
Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali katika Ziwa Victoria, Bukoba mkoani Kagera.
Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Jumapili 6, 2022, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, William Mwampaghale amethibitisha taarifa za ajali hiyo na kusema kuwa yupo kwenye eneo la tukio akiendelea na uokoiaji.
“Iko sahihi hiyo taarifa niko kwenye eneo la tukio nafanya uokozio, siwezi kuzingumza zaidi” amejibu kwa kifupi Kamnda Mwampaghale alipopigiwa simu.
Video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha ndege hiyo ikiwa imetumbukia kwenye maji.
1 view
20
2
4 months ago 00:28:36 1
#TBC1: WEKEZA TANZANIA: MUONEKANO KIWANJA CHA NDEGE SONGWE BAADA YA UWEKEZAJI
2 years ago 00:03:50 1
Ndege ya Precision Air yapata ajali ziwani Bukoba, Shuhudia uokoaji ukiendelea
2 years ago 00:02:40 1
🔴#TBCLIVE: BREAKING: NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA
2 years ago 00:04:13 2
Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni (Free) (Burundi)
5 years ago 00:04:45 38
ANGALIA ZOEZI LA VIFARU,NDEGE KWA KURUTA JWTZ KIHANGAIKO MWANZO MWISHO CHINI YA KANALI MYALA 2020
6 years ago 00:01:44 1
Ndege za hewa ya Libya huongozana na mashujaa wa majeshi ya ardhi katika ndege za kutambua mpaka jeshi liingie eneo la mama